Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,547
- 11,831
Nikikumbuka uzi ulivyokuwa wamoto siku za nyuma nashindwa kuamini kama ndo uzi huuhuu uliolala usingizi wa mauti! Wakamalia wamenyoosha mikono
Kabisa, kuna ujuaji mwingi mno humuwakali wa kubet waliokua wanatupa madini. wametuacha na ujuaji wetu. baadhi yetu humu ndani tuna ujuaji mwingi.
acha tule jeuri yetu wajinga sisi