Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
Mzee huoni aibu kuvuruga uzi mpaka wadau wameamua kukususia!? Hiki unachofanya hakiwezi kukusaidia maana ni kero. Kuna nyuzi za matangazo huko peleka tatakataka zako huko.View attachment 3508181
599 Odds ⚽
Code👉 FXRT6
📌 Jisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate Bonus Ya Mpaka 300,000.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code 👉 TIPS2424
PariPesa App👉: https://paripesa.bet/tips2424app
Hii haikusaidii kitu maana ni kero kwa wadau, huu ni uzi wa betting hayo matangazo yenu pelekeni uzi wa matangazo. Sijui admins wanafanya kazi gani!?View attachment 3509135
4.3k ⚽ Odds On PariPesa.
Code👉 61ESS
📌 Jisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉 TIPS2424 Kwa Bonus Ya Mpaka 300,000.
Jisajili Hapa👉 https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code 👉 TIPS2424
PariPesa App👉: https://paripesa.bet/tips2424app
Moderator
Inabidi ianzishwe campaign sasa ya kuwaondoa
Huyu ndo yuko chap kutake action Zenora
Hii kampeni nitashiriki. Umekuwa upuuzi sasa uzi umevamiwa walengwa wastaararabu wameondoka. Huu uzi umechangia kuleta wanachama wapya JF.Inabidi ianzishwe campaign sasa ya kuwaondoa
Bado unaona matangazo yake? Zenora ametisha tayari mwamba sana huyu mtuHii kampeni nitashiriki. Umekuwa upuuzi sasa uzi umevamiwa walengwa wastaararabu wameondoka. Huu uzi umechangia kuleta wanachama wapya JF.
Siyaoni mkuu!T14 Armata aise Kwenu bado mnayaona ?
Tunawareport tenaSiyaoni mkuu!
Walivyo machizi wanakuja na ID mpya kuchafua uzi