Ipo mbona cheki vizuriWaungwana samahani naomba kuuliza hivi kwa sportbet kuna chaguo la kipindi cha magoli mengi cha kwanza au cha pili kama ilivyo kwa betpawa
Ipo mkuuWaungwana samahani naomba kuuliza hivi kwa sportbet kuna chaguo la kipindi cha magoli mengi cha kwanza au cha pili kama ilivyo kwa betpawa
😅😅😅we mpuuzi, ni bora hii thread ipooze, kuliko wewe kuja kila siku hapa.
watu hawakutaki
Inaonekana kuna basi limepakiwa hapo so mchezo
Sio kweli 😅Wakati wa CAF Champions League, ni rahisi kutengeza peasa ukibeti kuwa Simba atafungwa iwapo SImba inacheza dhidi ya timu nyingine yoyote.
Mkuu naomba tafadhali nielekeze namna ya kuipataIpo mkuu
Tatizo lugha mkuu naomba i screenshotIpo mbona cheki vizuri