Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzee huoni aibu kuvuruga uzi mpaka wadau wameamua kukususia!? Hiki unachofanya hakiwezi kukusaidia maana ni kero. Kuna nyuzi za matangazo huko peleka tatakataka zako huko.
 
Nyie mnaopost matamgazo mnadhani wengine hatuna hizo ref code? Mshafikiria kila mmoja akianza kupost itakuwaje? Acheni utoto na upumbavu please, uzi ubaki kwenye dhumuni lake. Mkiona hamuwezi kuishi bila kushare huo upuuzi wenu nendeni kwenye jukwaa la matangazo. Mnakera
 
Inabidi ianzishwe campaign sasa ya kuwaondoa
 
Huyu ndo yuko chap kutake action Zenora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…