Hata mimi huwa najiuliza sana hilo swali wenye majibu tafadhaliMwanzilishi wa huu uzi yupo kweli
Kwa afrika ni ngumu mtu kujiuzulu, hao uliowataja wamezuiwa kucoment na moderator kwenye huu Uzi, siyo mapenzi yaoBaada ya kusakamwa sana, sasa rasmi Kamotee/Ser kaamua kujiuzulu. Post ya mwisho kwenye huu uzi ni majuzi. Ngoja tuone italeta impact gani, je wamba wa zamani watarudi?
Kwani anawaingiza sana chaka amaKwa afrika ni ngumu mtu kujiuzulu, hao uliowataja wamezuiwa kucoment na moderator kwenye huu Uzi, siyo mapenzi yao
Fikiria tuko barabarani, mtu mmoja anaendesha gari anapifapiga honi hovyo bila mpangilio wowote yaani makelele haswa.Kwani anawaingiza sana chaka ama
Tatizo lugha mkuu naomba i screenshot
Boss vp mbona paripesa wameondoa Njia malipo?Mkuu vipi umekunywa chai? Nipe sababu tano za kwanini nisiweze kucomment humu? Kwanini watu wanikatae? Jisemee wewe kuwa unanikataa sababu ya wivu wako. Pia Mkuu kuna namna na njia nyingi za mimi kuingia humu.
Mbona kuweka hamna shida why kwenye kutoa??? Hawa kama siwaelew kabsaMkuu kuna changamoto ya mtandao.
Hao Paripesa ndio walivyo kutoa Hela ni mbinde, Mimi niliamua kuwachia Hela nikarudi SPORTYBET. Market zao ni rahisi kula Hela ila kuitoa ndio mbinde.Mbona kuweka hamna shida why kwenye kutoa??? Hawa kama siwaelew kabsa
Wote hatukutaki pimbi weweMkuu vipi umekunywa chai? Nipe sababu tano za kwanini nisiweze kucomment humu? Kwanini watu wanikatae? Jisemee wewe kuwa unanikataa sababu ya wivu wako. Pia Mkuu kuna namna na njia nyingi za mimi kuingia humu.