Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,049
- 10,502
Pyramid waliomba kujitoa wao na Al AHLY,ila waliona wacheze Kukimbia fainiWadau Leo Pyramid kapewa odd mlima kwani mhindi kagundua nn kwa pyramid
Tupo na weweNgoja ni set chuma cha ODDS 10 tu
Wale wa SPORTYBETy na BETPAWA stay tuned
Mkuu Lwiva: vipi unashusha nondo Leo!! Maana unavitu sio mchezoNimeanza kujazia nilicho kosa jana
UEFA NGUMU π LABDA LIVEMkuu Lwiva: vipi unashusha nondo Leo!! Maana unavitu sio mchezo
Washakutenda tayariHabari wakuu
Naomba msaada kwa mwenye mawasiliano ya paripesa Tanzania.
Tukiwaambia wanakaza fuvuWashakutenda tayari
Ndio kwanza nawasikiaNahisi nmetapeliwa na hao jamaa wanaitwa dukobet kuna mtu anawafahamu?
Nme deposit hela cha ajabu casino zao hazifanyi kazi na ku withdrawal hela haiwezekaniNdio kwanza nawasikia
πππKwa afrika ni ngumu mtu kujiuzulu, hao uliowataja wamezuiwa kucoment na moderator kwenye huu Uzi, siyo mapenzi yao
Habari wakuu
Naomba msaada kwa mwenye mawasiliano ya paripesa Tanzania.
π€£π€£Washakutenda tayari
Nahisi nmetapeliwa na hao jamaa wanaitwa dukobet kuna mtu anawafahamu?
ππππ€£Ndio kwanza nawasikia
Wamekutapeli nini ? Kama ni kweli hiyo kampuni mtafute mke wa RostamNahisi nmetapeliwa na hao jamaa wanaitwa dukobet kuna mtu anawafahamu?
Hapo kweli ulikuwa unajaribuNgoja tujaribu hii