Kila siku nasikia kampuni jipyaJe kuna mtu amewahi kutumia mostbet humu?
Mostbet naionaga toka zamani sana, kama unaingiaga tovuti za livescores ungeona matangazo yaoKila siku nasikia kampuni jipya
Anashangaa hakuna pesa kumbe mikeka ilichanika 😁Leo nina mikeka miwili tu
Leo nina mikeka miwili tu
Hiyo mechi ndiyo pekee imenichania mkeka tena niliweka over 1.5PSG WON AND OVER 1.5, Mhhhhh kanj sio ndugu yangu
Unamfahamu address yao au ofisi zao zilipo? Nme deposit hela cha ajabu casino zao hazifanyi kazi na withdrawal hela haiwezekani yaani dah!Hii mechi moja vipi
Wamekutapeli nini ? Kama ni kweli hiyo kampuni mtafute mke wa Rostam
Hakunaga odds za uhakika mkuu labda kama unaingia wewe uwanjani kuchezaTafuta odd 2 za uhakika tia laki
Acha tamaa
Haijui betting huyoHakunaga odds za uhakika mkuu labda kama unaingia wewe uwanjani kucheza
Me mfumo wangu nawinda odd 2 natia lakiHakunaga odds za uhakika mkuu labda kama unaingia wewe uwanjani kucheza
Leta hizo odds tutembelee upepo wakoMe mfumo wangu nawinda odd 2 natia laki
Kama utaridhia nipo tayari nikupe odd 2 za uhakika bureee
Leta hizo odds tutembelee upepo wako
Acha mtapeliwe na nyie mzidi kudangaNahisi nmetapeliwa na hao jamaa wanaitwa dukobet kuna mtu anawafahamu?
Kwenye kubet ukiwa na tamaa tu umekwishaAcha mtapeliwe na nyie mzidi kudanga
Wanaoingia uwanjani pia hawana uhakika asituchosheHakunaga odds za uhakika mkuu labda kama unaingia wewe uwanjani kucheza
Hakunaga Odd za uhakikaTafuta odd 2 za uhakika tia laki
Acha tamaa
SawaaHakunaga Odd za uhakika
Mbona taarabuAcha mtapeliwe na nyie mzidi kudanga