Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Edit kidogo ..leo nisipo kula naenda live kukuza mtaji

6XNSW8
🙏🏿Harafu nilifanya deposit Jana sportybet hadi time hizi bado, Kuna tatizo la mtandao, Maana sio kawaida Yao kabisa, kwako haisumbui mkuu kuweka pesa sportybet toka Jana?
 
😂 🙌 Million hamsini kwa Mia
Kwani huwa haiwezekani mkuu?! Sometimes huwa ni uoga tu wa kucashout
1000051327.jpg
 
Daah sisi wengine betting ishatukataa

Midtjlland anachomolewa dakika za mwisho, Celta Vigo baada ya kumpiga kibabe Real Madrid Bernabeu leo hata sare imemshinda dhidi ya Bologna.

Nachoka mimi nachoka mimi...!
Mkuu Midtjlland na genk mbona wametoka moja buyu vilevile,
 
Back
Top Bottom