Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Milio ni ile ile,kila mtu ataacha betting kwa muda wake
😂 😂Kuna option mpya ya multi corner 😂😂😂 yani idadi ya kona first half inazidishwa na second half kudadeki ikitokea upande mmoja una zero 😂😂😂 jibu unalo
Jana walimfilimba vijana walipindua mezaAhsante mkuu ndio nimeona hapa sasa hv midtjlland alishinda, kumbe ilikua ni wenge tu. Ila hata hivyo Celta Vigo kaniua niliamini anaimaliza mechi mapema, Ile mechi dhidi ya Madrid aliupiga mwingi sana.
Duh🤔 mzee wa odds mlima nakubari hii balaaa treni za hivi ukitia ten tu ikitoa shereheJana niliweka matreni marefu ..nimemkosa kanji yote mawili ya mechi 35 team 2 zimenichania
Nilijua naweka matreni marefu kumbe upo mshua. Unataka upate milioni mia 8Jana niliweka matreni marefu ..nimemkosa kanji yote mawili ya mechi 35 team 2 zimenichania
Kivipi?Nilijua naweka matreni marefu kumbe upo mshua. Unataka upate milioni mia 8
Mkuu hongera bana. Naona kametiki. Lakini hakuna uhakika kwenye bettingTatizo we jamaa ni mbishi mno.
Sio laZima ukiona utaliwa acha tu man
Huu ni uchizi wa betting sasa
M
Mkuu hongera bana. Naona kametiki. Lakini hakuna uhakika kwenye betting
😂 🙌View attachment 3514672
Niliwapa hela mkabisha
Hizi odds huwa zinauma sana zisikie kwa mwingine!
😭Hizi odds huwa zinauma sana zisikie kwa mwingine!
Fala mmoja tu mlebanoni anazingua over 1.5View attachment 3514738
Upo kimkakati zaidi ofisaKule sportybet nimekomba matreni balaa lengo langu nivizie cash out tu endapo itajitokeza iliyonona