Screenshot Mkuu MB 58 kwa video aisee za moto ๐Nimepata mtaji wa weekend sasa ๐๐พ๐๐พ๐๐พ
Kwani huwa haiwezekani mkuu?! Sometimes huwa ni uoga tu wa kucashoutView attachment 3514360
๐๐๐ Mimi nasubiri maumivu tu hapa yani hadi sada mashuti mawili tu sijui wanacheza nini hakuna on target hata mojaAustralia siyo mahali pa kuweka hela siku hizi
Daaah juzi nilikula za uso leo tena upepo siyo kabisa, yaani si kwa wanaume wala wanawake wanachana mikeka vibaya๐๐๐ Mimi nasubiri maumivu tu hapa yani hadi sada mashuti mawili tu sijui wanacheza nini hakuna on target hata moja
Kwa nini mkuu[emoji28][emoji28]Australia siyo mahali pa kuweka hela siku hizi
๐ Pole mkuu wawekezaji tupo kipindi cha Uma chunguAustralia siyo mahali pa kuweka hela siku hizi
Kule sportybet nimekomba matreni balaa lengo langu nivizie cash out tu endapo itajitokeza iliyonona
Kuna siku yako utapataDaah sisi wengine betting ishatukataa
Midtjlland anachomolewa dakika za mwisho, Celta Vigo baada ya kumpiga kibabe Real Madrid Bernabeu leo hata sare imemshinda dhidi ya Bologna.
Nachoka mimi nachoka mimi...!
Unazingua mno mzee, huu ni uzi wa mikeka siyo wa matangazo. Kifupi mimi ni mmoja wa watu waliopunguza kutembelea uzi kwasababu ya kugeuzwa kuwa jukwaa la matangazo. Mnazingua kinomaMkuu vipi umekunywa chai? Nipe sababu tano za kwanini nisiweze kucomment humu? Kwanini watu wanikatae? Jisemee wewe kuwa unanikataa sababu ya wivu wako. Pia Mkuu kuna namna na njia nyingi za mimi kuingia humu.
Hiyo Ser ni sikio la kufa, mtajitesa bure mwacheni tu.Unazingua mno mzee, huu ni uzi wa mikeka siyo wa matangazo. Kifupi mimi ni mmoja wa watu waliopunguza kutembelea uzi kwasababu ya kugeuzwa kuwa jukwaa la matangazo. Mnazingua kinoma
Ahsante mkuu, ngoja nichukue code za Lwiva hapo juu ana kismati.Kuna siku yako utapata
Nakubari mzee wa odds mlima lolote linaweza kutokea hapa ๐๐ฟDu kama vi cashout vinaanza kupanda ! Leo nina matreni ma 4 tu matatu niliyo post humu ..moja sija post ni ngumu kumeza ili hapa