Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo ngumu. Kuna mechi hazitakua za moto sababu timu zishapita na nyingine zishatoka
 
Code yake ipo wapi mkuuu
Bila kuchoka
 
Ukiachana na SportyBet kutuzinguwa wakamaria, kuna Barcelona na Bayern nao wana jambo Lao na wakamaria leo 🀣

Leo kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…