Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betway Share a Bet - BW36DA1641.jpg
 
Kama haujajifunza kitu kutokana na usengemavi tuliofanyiwa kwenye mechi za jana..." kampuni zote za betting zilifunga cashout"

jichanganye tena wiki ijayo kubetia hizi timu zinazocheza muda mmoja! HATA KAMA NI LEO!... ITAKULA KWAKO!

Sitarudia kosa!

Hata kama ni leo!.... nitakuwa nazipita hizi mechi kama NAAGA MAITI! kama sizioni!.
Wahuni sana!
Kwenye upande wa Desktop version, Sportybet nilikuwa napata cashout
 
Nauza Mikeka odds 5 za uhakika

Laki moja tu ukistake laki 2 unarudisha hela yako na faida juu

Karibuni sana mnajichelewesha kwenye utajiri
Una TATIZO LA AFYA YA AKILI

Kamuuzie Mama yako

FANYAKAZI Kenge we,humu sio group la UTAPELI wa KISHAMBA

Umekimbilia Mjini kwa uvivu wa Kusoma na KULIMA

Group hili watu wanajielewa sio Mazamwamwa wenzio Shenz typpp

ODDS za uhakika kamuuzie BABA Yako awe TAJIRI
 
Una TATIZO LA AFYA YA AKILI

Kamuuzie Mama yako
Sasa mama yangu anahusika na nini hapa, Braza?

We ndiye utakuwa una tatizo la afya ya akili

Inaonekana hata ukipita karibu na maduka ya biashara kila duka utakalolipita ambalo hujataka kununua bidhaa hapo utakuwa unapayuka kamuuzie mama yako

Acha makasiriko we mkamaria
 
Acha UTAPELI Mtoto mdogo utakuwa mchawi mapemaaa 🤣😂🤣

Wewe umeona wapi ODDS za uhakika,mpira inacheza wewe?

Ingekuwa hivyo kampuni zote zingefungwa,kukaa nyumbani mpaka umri huo akili zinakupungua
 
Una TATIZO LA AFYA YA AKILI

Kamuuzie Mama yako

FANYAKAZI Kenge we,humu sio group la UTAPELI wa KISHAMBA

Umekimbilia Mjini kwa uvivu wa Kusoma na KULIMA

Group hili watu wanajielewa sio Mazamwamwa wenzio Shenz typpp

ODDS za uhakika kamuuzie BABA Yako awe TAJIRI
Kwahiyo wewe ndo sio mvivu wa kusoma na kulima?

Halafu unategemea bahati kwenye maisha yako? 😅😅😅

Yaani umeacha maisha yako yaamuliwe na Bahati hata shemeji yako akikuachia buku unywe chai unakimbilia kufyatua mikeka upate milioni 10

We jamaa Skanka zinakusumbua uje nikupe odds 5 utoboe
 
Acha UTAPELI Mtoto mdogo utakuwa mchawi mapemaaa 🤣😂🤣

Wewe umeona wapi ODDS za uhakika,mpira inacheza wewe?

Ingekuwa hivyo kampuni zote zingefungwa,kukaa nyumbani mpaka umri huo akili zinakupungua
Njoo na laki 1 nikupe sure odds wenzako wanamiminika PM, saa 6 kamili nafunga PM yangu😅
 
Mbona Hanscana anawauzia na hamumuiti tapeli?

Odds za uhakika zipo acha ubishi
Kuna uzi upo humu aliliwa milioni 7.

Na sio hiyo tu analiwa mara nyingi.

Mikeka yake ikichanika hadaiwi fund na watu walionunua odds kwake, kwasababu hana slogan kama yako ya uhakika.

Hii slogan ya kwamba odds za uhakika, mnayo wewe na Hans yule mchambuzi.

Hakuna sure odds kwenye betting hata siku moja.

Kwenye betting odds kuna high probability tu na sio uhakika kama unavyosema.
 
Navunja kibubu!

Leo hata akifunga cashout!... Nalala nae! Kiulaloulalo!

Leo Tutazinesa kwa pamoja! Mimi ama yeye! Kubabake!

CHATGPT na Shogaako Grok kubabae zenu!

Nimerudi kwenye reli zangu!
Back to my roots!
View attachment 3535979
Jaa sikutaka tamaa kabisa.

Lakini wakichonifanya Juve na ndugu yake Monaco.

Sijui kama itatokea tena nije kufanya nao biashara hawa wahuni.
IMG-20260129-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom