Digo zee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 662
- 1,350
wamefunguwa half time then wameifunga second half 😀Wamefunguwa tayari
Mzee ulikuwa na hasira leo, mikeka 11
Mzee ulikuwa na hasira leo, mikeka 11
Wewe kwann ulimpa dwMadrid amesepa na kijiji
Bila kuchoka muwekezaji,CHATGPT, Grok wameniingiza chaka! I hope ningetumia akili zangu ningewin kabisa jana!
Haya marobot ni biashara za watu!
Wanayalisha maarifa yale wanataka yamfikie mlaji.