Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kmamake jana imechanika mikeka yote

Fenebache alishindwa kushikilia bomba.

Leo tena naingia mzigoni nipeni ideas

Hii ni idea yangu hapa chini lakini bado sija uweka huu mkeka.

Nasubiri mapendekezo ya wadau najua humu kuna vichwa.

Code ya huu mkeka ni 5LZA3K
Total odds ni 3.17

Je mnavyoona huko kwenye scope zenu hii ni hela au hereni?

Screenshot_20260130-141539_SportyBet.jpg
 
Jana usiku saa2 sportybet wakanipa gifts 30k, ikaliwa! Kwa Odds 10 mboroo 22 uwanjani (mechi ya ya freibag)zikashindwa kupata goli 1 tu!

Acha tuone na hii 30 ya leo wametoa tena! ( wamesahau kuwa leo ni mechi za ligi!) kwenye mechi za ligi kmmmae! Lazima akae leo! Odds 10 -11tu. Nipate 300k
View attachment 3536548
Hata mimi nilikuwa na gift ya 8200

Nakafuata inplay nikampa Al Hilal. Mechi ikaisha sare.

Leo tena naona kuna gift ya 8200 nataka niongezee na stake yangu hapa nitoe kitu cha odds 3
 
Jana usiku saa2 sportybet wakanipa gifts 30k, ikaliwa! Kwa Odds 10 mboroo 22 uwanjani (mechi ya ya freibag)zikashindwa kupata goli 1 tu!

Acha tuone na hii 30 ya leo wametoa tena! ( wamesahau kuwa leo ni mechi za ligi!) kwenye mechi za ligi kmmmae! Lazima akae leo! Odds 20 -21..tu. Nipate 600k
View attachment 3536548
Mkuu kwani hizi gift huwaga wanatoa tu siku yoyote Maana me sijawahi kupata katika ya week inakuwa j, Tatu tu,
 
Kmamake jana imechanika mikeka yote

Fenebache alishindwa kushikilia bomba.

Leo tena naingia mzigoni nipeni ideas

Hii ni idea yangu hapa chini lakini bado sija uweka huu mkeka.

Nasubiri mapendekezo ya wadau najua humu kuna vichwa.

Code ya huu mkeka ni 5LZA3K
Total odds ni 3.17

Je mnavyoona huko kwenye scope zenu hii ni hela au hereni?

View attachment 3536554
Mkuu huu kwa macho ya nyama Ni maini kabisa
 
Kmamake jana imechanika mikeka yote

Fenebache alishindwa kushikilia bomba.

Leo tena naingia mzigoni nipeni ideas

Hii ni idea yangu hapa chini lakini bado sija uweka huu mkeka.

Nasubiri mapendekezo ya wadau najua humu kuna vichwa.

Code ya huu mkeka ni 5LZA3K
Total odds ni 3.17

Je mnavyoona huko kwenye scope zenu hii ni hela au hereni?

View attachment 3536554
Hii ni pesa
Naamini mimi
 
Mmewaona Lazio huko?
 
Back
Top Bottom