Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kmamake jana imechanika mikeka yote

Fenebache alishindwa kushikilia bomba.

Leo tena naingia mzigoni nipeni ideas

Hii ni idea yangu hapa chini lakini bado sija uweka huu mkeka.

Nasubiri mapendekezo ya wadau najua humu kuna vichwa.

Code ya huu mkeka ni 5LZA3K
Total odds ni 3.17

Je mnavyoona huko kwenye scope zenu hii ni hela au hereni?

 
Hata mimi nilikuwa na gift ya 8200

Nakafuata inplay nikampa Al Hilal. Mechi ikaisha sare.

Leo tena naona kuna gift ya 8200 nataka niongezee na stake yangu hapa nitoe kitu cha odds 3
 
Mkuu kwani hizi gift huwaga wanatoa tu siku yoyote Maana me sijawahi kupata katika ya week inakuwa j, Tatu tu,
 
Mkuu huu kwa macho ya nyama Ni maini kabisa
 
Hii ni pesa
Naamini mimi
 
Mmewaona Lazio huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…