Cha muhimu mkeka uwe unapumua ukichana Kuna option ya rebetAngalizo!: hii code usiiwekee 1000 ama 500 ukitegemea kwamba utakula!....
Mimi nimesteki for fun... kujifurahisha tu...kile ninachoweza ku-afford kupoteza..
Anyway usiige kunya kwa tembo!
Usije ukaweka Jero yako ya bando ukitegemea kuokota chochote humu...tusilaumiane!
View attachment 3541418
Kadi moja ikakata aseeeNaona kadi zikagoma
Mimi madrid akanipa na ndugu yake benfica akapata goli dakika za mwisho. Acha nikale supu sasa.
🤣🤣🤣 Huyo hapendi kuitwa wakla wa kanji ..namba uliyotumia kurequest withdraw ndio hiyohiyo uliyotumia kudeposit? Majina na namba ya kitambulisho vinaendana? Kama majibu yote ni ndio basi sijui tatizo ni nini! Ila kama kuna mkanganyiko wa taarifa kama nilivyokuuliza hapo juu basi hiyo shida nadhani umenielewaHawa Fansport mbona wanasumbua kwenye kutoa hela
Mkuu guoguo nipe uzoefu katika hili maana we ni Mtumishi wa Fansport
Mkuu guoguo nipe uzoefu katika hili maana we ni Mtumishi wa FansportUkitumia kubeti kampuni ambayo haijasajiliwa Tanzania uwe tayari kwa lolote ukipata tatizo usilete huku walishaonya sana humu!
Hapo ni typing error tu Mkuu, nilikuwa namaanisha "Mtumiaji" na sio "Mtumishi" maana Huwa anawekaga code mara mojamoja za Fansport🤣🤣🤣 Huyo hapendi kuitwa wakla wa kanji ..namba uliyotumia kurequest withdraw ndio hiyohiyo uliyotumia kudeposit? Majina na namba ya kitambulisho vinaendana? Kama majibu yote ni ndio basi sijui tatizo ni nini! Ila kama kuna mkanganyiko wa taarifa kama nilivyokuuliza hapo juu basi hiyo shida nadhani umenielewa
Sawa mkuu, mwenyewe nimewasumbua sana hadi nahisi wananiona kero. Ngoja kesho asubuhi tuoneMkuu na mimi nilitoa hela asubuhi bado sijapata. Niliwasiliana nao walisema kuna tatizo la mtandao kwao. Waliniambia wapo wanarekebisha. Hii ni sehemu ya chat nilizo fanya nao asubuhi saa 4👇
View attachment 3541767
Mna-hangaishwaga kweli na hizi kampuni za mfukoni!/uchochoroni!Sawa mkuu, mwenyewe nimewasumbua sana hadi nahisi wananiona kero. Ngoja kesho asubuhi tuone
View attachment 3541564
BET OF THE DAY ⚽
Kampuni: PariPesa
Code👉 U9LPA
📌 Jisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉 SASA1 Upate Bonus Ya 300%
Jisajili Hapa 👇
https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code👉 SASA1
Mkishinda mnapost ila code hamtumi
Code za Leo vipi mkuuMkishinda mnapost ila code hamtumi
Sijui wanamuonea huruma MhindiMkishinda mnapost ila code hamtumi
Yamkini maana code hatumi alafu ikitiki anatuma si unafiki huoSijui wanamuonea huruma Mhindi
Kama kawaida tu soon naachiaCode za Leo vipi mkuu
Odds 22..huo kweli karatasi ni kama kapeti la ikulu ..