Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ishaniumiza mara nyingi maana nashindwa kukesha na muhindi kucheza na cashout
Inauma, wacha tu.

But all in all ni bahati tu!,

Nilishashtuka siku moja saa 5 na nusu, nika-cashout 30k nipate stake(stake ilikuwa jero!), mechi 3 zote zilizobaki win dk za jioni, nikakosa BOKSI MOJA! kwa uoga wangu tu!

Siku hizi nacashout pale tu nnapoona hakuna namna!

Sasa hivi hizi game za saa 5 ambazo ninakua na uhakika kiasi fulani...

Naweka option za kufunga Pingu za maisha na yeye!, zisizo na cashout! ni either ale yeye! Ama niliwe mimi!

Tushachoka kupoteza
 
Hujaelewa kitonga cha nini ,namaanisha kitonga cha kutengenezewa kila kitu bila kujishughulisha 😇
Kuomba code sio uzembe ndugu hizi code tu zinarahisha kuflow kwa information toka mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Na siwezi kuwa na hard feelings siunaona zilivyotapakaa X kwa nigerians na 98 percent zinachanika
 
Kabisaaa mkuu ni mwendo wa kunyonga kende tu ipo siku usingizi utakupitia ila utaamshwa na furaha ya boom pesa za kutosha ,mimi jana baada ya leicester kupata goli mbili za chap nikasema hawa southampton hawarudishi nishaliwa guess what anakuja kufanya comeback ya kibabe then anakuja kuharibu Chelsea na Man U

So far tuzidi kupambana hakuna kukata tamaa hizi ndizo side husle zetu hatuwezi kutulia na jambo moja ilhali tunataka kufikia malengo 📌🔥
 
Kuomba code sio uzembe ndugu hizi code tu zinarahisha kuflow kwa information toka mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Na siwezi kuwa na hard feelings siunaona zilivyotapakaa X kwa nigerians na 98 percent zinachanika
Sasa ushapewa code ya Betway ingia betway then uangalie selection za game

Then ufanye chaguzi kama hizo sportybet mkuu
 
Kumuamini Mwanamke Malaya!(Man Yu) KUMUWEKA NDANI na Kufunga nae Ndoa.... UKiamini kuwa atabadilika ni UTAAHIRA!

MAN U NI DEMU LA MASELA!
 

Attachments

  • Screenshot_20260211_115620_Chrome.jpg
    96.7 KB · Views: 24
  • Screenshot_20260210_102423_Chrome.jpg
    71.5 KB · Views: 27

BOOOOOOOM ✅✅✅✅✅✅✅✅✅

1.2 MILLION WON ✅✅✅✅✅✅✅✅✅ 🔥🔥

📌Bado Hujajisajili PariPesa? Jiunge PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate Bonus Ya 300k.

Jiunge Hapa 👇

https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Promo Code👉 TIPS2424
 
Safari Ya Siku 10....!

Kwenda kuwasalimia wanetu Betway!

Tuone watatupokeaje!, watatoa japo chochote kitu kwa wageni wao?!

Maana nawapelekea wageni shazi! Wakawasalimie!

13feb-23feb 2026 20:30 EAT. last kickoff!.

BW3B8282E8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…