JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Sure Odds 100%?
Pesa inanukia hapaJicho La kulia Likicheza Sana leo siku ya 3 mfululu linaashiria nini?!
Nahisi Naelekea KUMBUTUA PESA MINGI SANA HII WEEK. Hisia hazidanganyi!.
View attachment 3543143
Ameshakula chuma 3 Hadi muda huuPSG anapigika uko
Kaondoka na mikeka yangu mitatuAmeshakula chuma 3 Hadi muda huu
Uwekezaji ni kazi ngumu sana, ametuchania watu wengiKaondoka na mikeka yangu mitatu
Magoli vipi haziwezi toa hizi zote?Leo mechi zimekaa vibaya
Liverpool hatoboi
Al Nasiri Kibonde
Buyern Munich haeleweki
Vipi tunatokaje Leo wakuu
Kushinda mkeka jmos Huwa ni KipengeleMagoli vipi haziwezi toa hizi zote?
Safi sana dude hili la kumpuna muhindi