Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo code ya guoguo mida ya saa 2 Kuna team moja ilichana me Nika rebet tena kwa kutumia code hiyohiyo Nika stake hela ndogo sana mkeka ukatick jamaa yupo vizuri code zake
Mwamba hata treni zake,zinachana chache mnoo.mfano jana aliweka treni la odds karibu elf 2,zimechana game 3 tu.maana yake unaweza kuzichambua..
 
Stake💵
18002.jpg
Tusilaumiane baadae hii ni harufu ya pesaaaa
 
Na nilikuwa na uhakika 90% kwamba lazima goli lipo coz kipindi cha kwanza yametokea magoli manne. Sina hamu aisee
Mpira una matokeo ya ajabu an unaweza ukaweka under 3.5 na dakika ya 17 tu ya kipindi cha kwanza Goli Tatu tayari,, kwahyo dk 70 na kitu zilizobaki lizipatikane Goli,, ndio hapo unazima simu unalala,, ukiamka asubuhi kucheki umetiki,, an mpira unashangaza Sana.
 
Back
Top Bottom