G
Mwamba hata treni zake,zinachana chache mnoo.mfano jana aliweka treni la odds karibu elf 2,zimechana game 3 tu.maana yake unaweza kuzichambua..Hiyo code ya guoguo mida ya saa 2 Kuna team moja ilichana me Nika rebet tena kwa kutumia code hiyohiyo Nika stake hela ndogo sana mkeka ukatick jamaa yupo vizuri code zake
Pamoja mkuu tupia vitu..Mkuu jana Odds 2000 zimechana 4, Odds 30 imechana moja. Imeniuma sana. Tujaribu Na Leo Wakuu
Serious kabisaYanga anashinda hii game, js kabliye hana jeuri ya kumzuia yanga, katika hali ya game km ya leo
YAnga ana shinda hii game na unaweza shangaa akavuka kabisa.Serious kabisa
Kumbuka ana mechi mbili ndani ya siku moja mkuu kwa hiyo ambayo inachagizwa na mentality ya game na ukiangalia ni muda mmojaYAnga ana shinda hii game na unaweza shangaa akavuka kabisa.
Kawaida sana kwenye bettingMkuu jana Odds 2000 zimechana 3, Odds 30 imechana moja. Imeniuma sana. Tujaribu Na Leo Wakuu
Niamini mimi yanga anashinda hii gameKumbuka ana mechi mbili ndani ya siku moja mkuu kwa hiyo ambayo inachagizwa na mentality ya game na ukiangalia ni muda mmoja
Lets wait and see binafsi naiona game yenye pressure kubwaNiamini mimi yanga anashinda hii game
Tukutane saa 3:00Lets wait and see binafsi naiona game yenye pressure kubwa
✊️Tukutane saa 3:00
Na nilikuwa na uhakika 90% kwamba lazima goli lipo coz kipindi cha kwanza yametokea magoli manne. Sina hamu aiseeAhaa an ukisubiri Goli hata moja kipindi cha pili jamaa Waka kausha
Mpira una matokeo ya ajabu an unaweza ukaweka under 3.5 na dakika ya 17 tu ya kipindi cha kwanza Goli Tatu tayari,, kwahyo dk 70 na kitu zilizobaki lizipatikane Goli,, ndio hapo unazima simu unalala,, ukiamka asubuhi kucheki umetiki,, an mpira unashangaza Sana.Na nilikuwa na uhakika 90% kwamba lazima goli lipo coz kipindi cha kwanza yametokea magoli manne. Sina hamu aisee
Tuwekee na paripesa mkuu.View attachment 3544330
SPECIAL OPTIONS ⚽
Code 👉 UMX43
Site: Fansport
📌 Jisajili Fansport Kwa Kutumia Promo Code👉 SASA1 Upate Bonus Ya 200%
Jisajili Hapa 👇
https://cutt.ly/jtcT9CJk
https://cutt.ly/jtcT9CJk
Promo Code👉 SASA1
APK Download: https://cutt.ly/4tmwNoCZ