Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Mpaka dakika ya 91 ilikuwa hamna Goli, nikazima simu na kulala. Nataka sasa hivi ndio naona wametoa.Imetoa dakika za jiooooooooni
Mpaka dakika ya 91 ilikuwa hamna Goli, nikazima simu na kulala. Nataka sasa hivi ndio naona wametoa.Imetoa dakika za jiooooooooni
Wapo chimbo wanasuburi itick ndio walete huku 🏊Shusheni mawe wadau...!
Tuko pamoja kiongozi...! 👊🏾Nna imani sana na hii kitu, nime rebet na ku top up stake.
5N23RN
Kanji sio mtu mzuri...! 😅Timu za Italy matako zao
Una miaka mingapi? Huna tatizo la presha. Nakushauri kama hujui kabisa usijaribu, tuache wenyewe.Wadau nataka nijifunze kubet, soka au basketball. Nitambae na kampuni ipi inayolipa kwa uaminifu? Sitaki kufa bila kubet.
😂😂🤣 Mkuu, mimi presha sina. Ujue naona watu wanaweza mikeka wamepiga pesa mpaka najiona boya, kwamba ninakuwaje na simu ambayo hainiingizii pesa hizo?Una miaka mingapi? Huna tatizo la presha. Nakushauri kama hujui kabisa usijaribu, tuache wenyewe.
Tunabet kwa kujifrahisha usihadaike na iyo mikeka ya mtandaoni mkuuu.😂😂🤣 Mkuu, mimi presha sina. Ujue naona watu wanaweza mikeka wamepiga pesa mpaka najiona boya, kwamba ninakuwaje na simu ambayo hainiingizii pesa hizo?