JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Kwenye msafara wa mamba, hakosekani kenge mmoja!
Noma sanaJuve amekalia chuma mbili na game imeisha an hata kupata Goli moja ameshindwa
Sio mbaya mkuu chukua break fupi uje kivingine ukiwa na nguvu mpya hizi mbanga hazitaki hasira 👊.Dah, weekend hii inabidi niishie hapa , nimekataa cashout za laki mbili...!!!??
Duh 🤔Galatasaray
Inter
Slavia Prague
Magoli yamekataliwa!
VAR imekuja kuharibu betting!
Kwa mbalii namuona kanji amekunja nne huku anashushia wine taratiibu, me amepita na mike yangu yote hata niliyojaribu kurebet nayo kapita nayoWiki hii nimepogwa vibaya Sana. Kesho nachuka likizo fupi nirudi kivingine
Huyu real ana nini kwaniNingelia vibaya sana nisinge cash out
Masaaa ya mbele safi kabisa muwekezaji..kazi nzuri umefanyaNingelia vibaya sana nisinge cash out
Huwa tunaitaga hakosekaniki kibwenguKwenye msafara wa mamba, hakosekani kenge mmoja!
View attachment 3546917
Hao wanaitwaga Wasaga sumuPengine huyu ndie mchawi mwenyewe!, sio slavia Prague aliechana huu mkeka!
Nilitaka kumjibu vibaya! Huyu K..mma!
Nimemlindia heshma tu! Up
Ingekuwa wewe ungemjibuje!?
Ukitumia mtu kama huyu mkeka Dm tu! Hata iwe odds 1.01 inachana timu 1
Tangu aombe kuangalia bet history yangu ya odds 3,4,5 hadi 10, sijawahi kula tena! Siku kadhaa hadi leo!
Nimeichelewa hii codeBack to my roots.
View attachment 3547236