Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Same Option, Same Market
Two different bookmarkers

Sportybet vs Betway.

Betway 142 odds 13 teams Same Options! BW3DC9521C

Sportybet 271 odds same 13 teams, Same options!
6GKEXK

The biggest difference in double odds!


Kwenye Swala la odds Nono! Sportybet remains being the best!

kupanga ni kuchagua!

#KuzaCashoutCode
 
asa mr pipa ndio wakumuwekea hasira ungejua matus mi ndio nafeel kuliko chochote sizan kama utakuwa na tus mpya afu mi nipo miaka nenda rud humu toka uzi una page 2 mpaka leo salute jitu bandi na wenzake kitambo sana
Matusi humu sio mahara pake na sio ustaarabu ukiona mtu kakosea nawewe ukawa muelewa ni haki kua mwalim wake kwa mda na kumwelekeza kwa lugha nzuri,

Ukizungumzia uwenyeji hapa jf mimi nmeanza kusoma makala zake 2010 nikiwa na simu moja ilikua Tecno H5 nmefungua acaunt ya jf na kuingia rasimi 2016 na post ya kwanza niyamwaka huo

Sasa wewe nmejaribu kuangalia wewe umeingia humu 2021 jamani una miaka mitano tu humu kwaio jaribu kua unatoa elimu kwa wasio elewa kwa lugha laini ili jukwaa letu liendelee kua bora

ASANTE

exaliothyuda JF- Geita
 
coupon_77676717215_0902499.png

Matokeo ambayo hayatakiwi hapa ni 0-0 na 1-1 tu. Matokeo mengine yeyote unatiki kazi kwenu
 
JANA SIJALA HATA MKEKA MMOJA 🙄 NIPEPIGWA NA KANJI VIBAYA SANA 😁 sasa leo nimeona nije kwa nguvu kali Sana huu mkeka ninao post unatakiwa kuendelea kuucheza kwa kufanya positive edit na kutoa mikeka mingine ya odds za chini zaidi ..nawaakikishieni atakaye cheza huu mkeka na kufanya positive edit ya huu mkeka kwa kushusha odds lazima ampige kanji maana huu mkeka zikichana basi ni mechi moja au mbili au tatu .

Sportbety

5N6YG7

Kobaz pigeni pesa ya daku bet siyo haramu ..haramu ni kuongozwa na jini adriz FaizaFoxy Jagina Covax Al-mukheef
 

Attachments

  • Screenshot_20260220-110734_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260220-110734_SportyBet.jpg
    68.5 KB · Views: 19
JANA SIJALA HATA MKEKA MMOJA 🙄 NIPEPIGWA NA KANJI VIBAYA SANA 😁 sasa leo nimeona nije kwa nguvu kali Sana huu mkeka ninao post unatakiwa kuendelea kuucheza kwa kufanya positive edit na kutoa mikeka mingine ya odds za chini zaidi ..nawaakikishieni atakaye cheza huu mkeka na kufanya positive edit ya huu mkeka kwa kushusha odds lazima ampige kanji maana huu mkeka zikichana basi ni mechi moja au mbili au tatu .

Sportbety

5N6YG7

Kobaz pigeni pesa ya daku bet siyo haramu ..haramu ni kuongozwa na jini adriz FaizaFoxy Jagina Covax Al-mukheef
Nimependa ujumbe wako wa mwisho kwa Kobazi
 
Wakuu, Hawa 1xbet mbona wadhumati hivi.. kuweka wanapokea kutoa sasa hawatoi hela.. hivi hawajui kuwa tunashinda mikeka kwa tabu sana..
Kumamamae Hawa 1xbet
Mkuu Mimi 1XBET na betwinner, nilishagoma kutumia kutoa pesa masharti kibao mpaka betwinner niliacha na 15 elfu nikafuta na app yenyewe,, saivi ni sportybet tu,
 
Jana nilipost treni la kwanza baadae nalifanyia edit si nikakuta hiki kitu 🙄🙄 huwa sielewagi maana ya hizi options maana mara nyingi nilipo cheza manual mkeka unakuwa refund kama kwenye hii mechi imekuwa refund ....ninani anaye jua sababu ? Nilishituka sana nilipo kuta hii option ndani ya treni nililo suka ila nilijipa moyo baada ya kuona odds ni ndogo sana nikasema uenda tuka savaivu na kweli imekuwa refund 😁
 

Attachments

  • Screenshot_20260221-071949_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260221-071949_SportyBet.jpg
    40.2 KB · Views: 18
Back
Top Bottom