Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu mkiucheza na kuendelea kuufanyia positive edit ni pesa odds 7000 wote unaanza leo na kwisha leo 😇😇😇😇 lazima tutajirike na kanji adriz the mbususu

Sportbety

6Z07GH
 
Attachments

  • Screenshot_20260221-103234_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260221-103234_SportyBet.jpg
    73.1 KB · Views: 14
Jana nilipost treni la kwanza baadae nalifanyia edit si nikakuta hiki kitu 🙄🙄 huwa sielewagi maana ya hizi options maana mara nyingi nilipo cheza manual mkeka unakuwa refund kama kwenye hii mechi imekuwa refund ....ninani anaye jua sababu ? Nilishituka sana nilipo kuta hii option ndani ya treni nililo suka ila nilijipa moyo baada ya kuona odds ni ndogo sana nikasema uenda tuka savaivu na kweli imekuwa refund
Hizi options za player to score, to assist, to be booked au shots on target huwa zinakua void kama mchezaji husika asipoanza first IX.
Kama hapo kwako Auba hakuanza ndo maana ikawa hivyo.

Zinafaa sana kucheza kwenye singles au betbuilder ya single match. Unasubiri vikosi vitoke hadharani ndo unatupia vitu vyako.
 
Bora akupangwa 😁😁😁

😁😁😁
 
BW3E5B5573. BETWAY odds 14.74
Timu zile zile( 18), market ileile over 1.5

SPORTYBET 5FKT6F odds 17.84
Timu zile zile( 18), market ileile over 1.5

(Tena hapa sportybet timu zote ni option ya "early goals" goli moja lipatikane ndani ya dk 10 za kwanza, tayari mechi hiyo ni ✅️.

Kupanga ni kuchagua!

Utajua wewe mwenyewe mwizi wa odds ni yupi!
Je lisipo patika ndani ya muda huo inakuwaje
 
Back
Top Bottom