comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Leo nmeshambulia mikeka 26, imepoteana imebaki saba tuu inapumua
Uwe unabakisha balance ya ku-rebet kiongozi...!Leo nmeshambulia mikeka 26, imepoteana imebaki saba tuu inapumua
Ilikuwa odds ngapi hii mkuu...?Boom
Pole sana muwekezaji hakuna kuchoka mkuu tutamkama Patel siku...!Ajax kaharibu hii siku mapema, shoga yake anthens, na ***** sindikizaji midtyland, na plezen ***** mzoefu!
Real sociedad tu ndo kachana. Mjinga huyuAll d best
Hana adabuuuReal sociedad tu ndo kachana. Mjinga huyu
HIi kazi ni ngumu kummke,mikeke 18 yote imechanika na hapo nimesha rebet kama mara 3 kwa kila mkeka nilikua na kazi ya kupiga plasta kwa kila mkeka lakini wapi😇😇Ambae amekula leo!, huyo ana nyota!, tena ya jaa!
Kila option, kila mechi!, leo inaenda viseversa, sio win either half, sio over 1.5....
Tabet kesho na sporty gift.
Itoshe kusema hatukati tamaa ipo siku yake Yani hao royal na anta ndio wa kufanya upuuzi huo kwenye pesa za wanaumeUkisikia siku MBAYA! KAZINI NDIO LEO!
Nimerebet mara 3...! Inatosha kwa leo!
Aliekula leo! Huyo mwanaume!
View attachment 3550719
Nna hela kwenye simu, ingekuwa sio kuwa na uwezo wa kucontrol hisia za betting.....ningestake 50k....SIKU IKIWA MBAYA! NI MBAYA TU!... Hata odds 1.40 mechi 10, bado mkeka utachana tu!Itoshe kusema hatukati tamaa ipo siku yake Yani hao royal na anta ndio wa kufanya upuuzi huo kwenye pesa za wanaume
Mi imenibidi ni-cashout tu hakuna namna...!Ambae amekula leo!, huyo ana nyota!, tena ya jaa!
Kila option, kila mechi!, leo inaenda viseversa, sio win either half, sio over 1.5....
Tabet kesho na sporty gift.
Treni la siku 3 nyuma niliomba ushauri humu vip ni cashout nikaamua kutokuwa mala****nikakaza mbupu ila kuna mwingine wa pesa nyingi amechana Fernabache mamaeeee 2UP anakuja kupigwa chuma 2 sifuriUkisikia siku MBAYA! KAZINI NDIO LEO!
Nimerebet mara 3...! Inatosha kwa leo!
Aliekula leo! Huyo mwanaume!
View attachment 3550719
Mimi amenipuna Hadi gift kweli kanji ni shetwainiView attachment 3550813no retreat no surrender ni kufia vitani tu
Usikate tamaa mkuu mkeka mmoja alizingua fernabache na cashout ilikuja kama 66k kwa 5k ila ndio nikarebet ,then booom let go makamariaMimi amenipuna Hadi gift kweli kanji ni shetwaini