Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi ya yanga ya KIPUMBAVU sana imenichania hadi mitaji ..imebidi nikaweke hela 🙄 ngoja nianze kujaribu kukuza mtaji na odds 7

61ELZG
 

Attachments

  • Screenshot_20260302-090520_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260302-090520_SportyBet.jpg
    65.2 KB · Views: 14
Hawajajua umuhimu wa 1up na 2up... wanaona kama wanapunjwa!...odds

Kikiwalamba wanaanza 'ningejua!'
Nikikuta uzembe wa namna hiyo kwenye mkeka wa mtu natambua kuwa siyo wa kuaminika tena mara nyingi UP 2 INAKUWA SAWA NA DIRECT WIN KIODDS AU TOFAUTI NI NDOGO SANA KAMA 30 KWA 28 . up 2 na up 1 siyo za kupuuza kabisa hata siku moja.
 
Kuna mahal Jana nlikua naperuzi peruzi nikakuta odds 500;mtu kaweka nikasema aaaah ujinga huu.. badae Narudi leo naperuzi ndio habar ya mjini , zote zilitiki.ina mana ningeweka ka elfu kumi kangu nilikokanywa bia ningekua na Ngoma inasoma 5M mamaeh . Nimetukana leo hadi basi
 
Sema "nimepunwa", watu wanapiga hela mjomba ...ohoooo...
Kuna mahal Jana nlikua naperuzi peruzi nikakuta odds 500;mtu kaweka nikasema aaaah ujinga huu.. badae Narudi leo naperuzi ndio habar ya mjini , zote zilitiki.ina mana ningeweka ka elfu kumi kangu nilikokanywa bia ningekua na Ngoma inasoma 5M mamaeh . Nimetukana leo hadi basi
Kweli nilipunwa nimerekebisha mkuu.
Usiharau mkeka ukiona huuuelewi wewe tupia humu watu wanaruka nao
 
Back
Top Bottom