Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ambae amekula leo!, huyo ana nyota!, tena ya jaa!

Kila option, kila mechi!, leo inaenda viseversa, sio win either half, sio over 1.5....

Tabet kesho na sporty gift.
HIi kazi ni ngumu kummke,mikeke 18 yote imechanika na hapo nimesha rebet kama mara 3 kwa kila mkeka nilikua na kazi ya kupiga plasta kwa kila mkeka lakini wapi😇😇
 
Itoshe kusema hatukati tamaa ipo siku yake Yani hao royal na anta ndio wa kufanya upuuzi huo kwenye pesa za wanaume
Nna hela kwenye simu, ingekuwa sio kuwa na uwezo wa kucontrol hisia za betting.....ningestake 50k....SIKU IKIWA MBAYA! NI MBAYA TU!... Hata odds 1.40 mechi 10, bado mkeka utachana tu!

Tukutane weekend ijayo!....kesho tunabetia fungu la kumi toka sportybet, hakuna kudeposit.
 
Ukisikia siku MBAYA! KAZINI NDIO LEO!

Nimerebet mara 3...! Inatosha kwa leo!

Aliekula leo! Huyo mwanaume!
View attachment 3550719
Treni la siku 3 nyuma niliomba ushauri humu vip ni cashout nikaamua kutokuwa mala****nikakaza mbupu ila kuna mwingine wa pesa nyingi amechana Fernabache mamaeeee 2UP anakuja kupigwa chuma 2 sifuri
 

Attachments

  • Screenshot_20260302_001414_SportyBet.jpg
    106.2 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…