Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
HONGERA SANA mkuu weekend ilikuwa nzuriπView attachment 3550813no retreat no surrender ni kufia vitani tu
Hizo mbili na moja mbona amzitumiagi UP1 / UP2 dalili ya uzembe
Usikate tamaa muwekezaji tuendelee kuwekeza mkuu...!Mimi nina gundu na sportybet. Sijawahi kula hata mara moja naambuliaga cash out tu! Nikiweka mkeka wangu mechi ya kwanza tu inachana nikichukua wa watu wengine basi mkeka hautoi! Mnyonge wangu paripesa tu .
Ni nomaMimi amenipuna Hadi gift kweli kanji ni shetwaini
Nikikuta uzembe wa namna hiyo kwenye mkeka wa mtu natambua kuwa siyo wa kuaminika tena mara nyingi UP 2 INAKUWA SAWA NA DIRECT WIN KIODDS AU TOFAUTI NI NDOGO SANA KAMA 30 KWA 28 . up 2 na up 1 siyo za kupuuza kabisa hata siku moja.Hawajajua umuhimu wa 1up na 2up... wanaona kama wanapunjwa!...odds
Kikiwalamba wanaanza 'ningejua!'
Wee mzee shusha nondo aisee...!
Mbona kinyonge sana mkuu, kanji apelekewe mashambulizi nje ndani maana weekend hii ametupuna sana inabidi azitapikeHapa basi nikiliwa
5JZ5V9
JITU BANDIA alisema anatoa fungu la 10 leo naona kawa kimya kabisa...!Mbona kinyonge sana mkuu, kanji apelekewe mashambulizi nje ndani maana weekend hii ametupuna sana inabidi azitapike
Sema "nimepunwa", watu wanapiga hela mjomba ...ohoooo....Mbona kinyonge sana mkuu, kanji apelekewe mashambulizi nje ndani maana weekend hii ametupuna sana inabidi azitapike
Usiharau mkeka ukiona huuuelewi wewe tupia humu watu wanaruka naoSema "nimepunwa", watu wanapiga hela mjomba ...ohoooo...
Kweli nilipunwa nimerekebisha mkuu.Kuna mahal Jana nlikua naperuzi peruzi nikakuta odds 500;mtu kaweka nikasema aaaah ujinga huu.. badae Narudi leo naperuzi ndio habar ya mjini , zote zilitiki.ina mana ningeweka ka elfu kumi kangu nilikokanywa bia ningekua na Ngoma inasoma 5M mamaeh . Nimetukana leo hadi basi
Azam anafungwa mbili ndiyo anakuja kudraw hata UP 1 na UP 2 Imegoma πππ kweli makampuni ya kamari ni mtandao mkubwa sana wa rudhwa.Mbona kinyonge sana mkuu, kanji apelekewe mashambulizi nje ndani maana weekend hii ametupuna sana inabidi azitapike
kwann mkuu?Hii michuano huwezi kuikuta imewekwa kwenye kampuni yoyote ile ya kubet duniani! Mfanyakazi wao yeyote akipendekeza hilo wazo...WANAMLA KICHWA! KMMMAE!
View attachment 3551310