JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Kubeti magoli ni usssenge
hivi huwa mnashinda?I wanna be a Millionaire!...So fuckin' bad, smiling next to Oprah and a queen...!View attachment 3551784
Bet what you can afford to lose!hivi huwa mnashinda?
Nimeuliza tu mkuu , sio kwa ubayaBet what you can afford to lose!
Hiyo MIA MBILI YANGU?! AMA YAKO!?.. HIYO MIAMBILI YANGU WEWE INAKUUMA NINI MKUU?! HUKUCHANGIA KUITAFUTA!, HUPASWI KUIPANGIA MATUMIZI!
Kwa bahati mbaya sana mmekariri kuwa stake kubwa ndio zinashinda!,....hivi huwa mnashinda?
Inaitwa Kuza mtaji kwa mwendo wa cash out..hivi huwa mnashinda?
WANATUMIA unga WA Michele na RANGI nenda youtubeMsaada
Mtu anielekeze kupika vinamba View attachment 3551822
Mkuu unataka ukapike vinamba πsisi tunaita vichinchiliπMsaada
Mtu anielekeze kupika vinamba View attachment 3551822
kweli mkuuSiku zote Demu mwenye Matako makubwa! Akidanja, Huwa anakufa na kijiji! Fuatilia uone!... hata babaako anaweza kuwa miongoni mwa marehemu!
Mi nnachokupendea mikeka yako ni Zege Konki kabisa. Zege halilali...!
Nakubali nakubali sikupingi hata kidogo mzee baba. The Gang of Wagagagigikoko...! Salute. βπΎππΎMimi huwa silazi Code, Maana sio makande haya kuwa nimeyainjika yakeshe ili yaive!