Nakubali nakubali familia matreni ya shr ndio yenyewe mzee baba...!Huu siyo wa siku moja odds 5000
6ZJR4M
Tuendeleze tulipoishia wawekezaji.50ZPPZ Sb
Ndio hivyo ndugu yangu hakuna kazi rahizi kikubwa ni kukomaa tu na kutuliza akili familia. Patel sio mtu mzuri hata kidogo mkuu.Dah! Betting ngumu sana.
ila inshallah mitaji itapatikana.
Ngoja nitulize akili Leo.
Nakubali nakubali kamanda.Mr.Kuza Cashout Code.
View attachment 3552958
Azam analeta utoto kwenye kazi
Aloo!....ila kwa uzoefu wangu na mechi za hivi...Azam anaweza pata goli dakika za jionii... wacha tuone...Azam analeta utoto kwenye kazi
Huyu mbwa huyu fala sana mzee mwenzangu. Hebu tupia mkeka unaoanza saa 1 tupunguze machungu kamanda wangu.Aloo!....ila kwa uzoefu wangu na mechi za hivi...Azam anaweza pata goli dakika za jionii... wacha tuone...
Maku sana hawa jamaa aisee...!Ukisikia litimu la ******* ndo hili,
Tuliza akili tu mkuuDah! Betting ngumu sana.
ila inshallah mitaji itapatikana.
Ngoja nitulize akili Leo.
Kuna mtu humu amekuomba msaada hela ya kubetia?... anaesukumiwa ni mwingine!, miguno unatoa wewe!Fanyeni Kazi Vijana
Si unajua wengine hawabanwi na mavi mpaka waone kichaka mzee baba.Kuna mtu humu amekuomba msaada hela ya kubetia?... anaesukumiwa ni mwingine!, miguno unatoa wewe!