Nakubali nakubali kamanda sikupingi hata kidogo mkuu...!Code kama Jitu!
Kazi ngumu zinafanywa asubuhi, jioni mahesabu!
A true meaning of KUZA CASHOUT CODE!
Leo nnae huyu!
View attachment 3553664
Hakuna kuchoka Familia. Rebet Mkeka...!Kila siku nachaniwa na timu moja
Bado unajifunza betting 🤣🤣🤣🤣Betting sio poa wazee nimebet mechi mbili ligi ya Russia kwa kuangalia historia nikaweka ubashiri wangu... Matokeo sasa nilichobashiri mechi A ndio kinachotokea mechi B, nilichobashiri mechi B ndio kinachotokea mechi A sasa hapa sijui nicheke au nifanye nini hata sielewi yani.
☝️☝️ moja imetoa . Na moja imechana (kuna timu inedraw 1-1 wakat niliipa direct win).SportyBet. Zote Odds 10.
Mechi za Leo.
6ZDW3T
5MAXQW