mtoto wa mjomba
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 575
- 848
Code moja ilitoa apa59TTLU sportybet odds 7
5VP1FD risky
Code moja ilitoa apa59TTLU sportybet odds 7
5VP1FD risky
SafiCode moja ilitoa apa
Code moja ilitoa apa
Nakubali nakubali muwekezaji.Code moja ilitoa apa
Azam siyo wa kumpa direct win wala over 0.5 huyo ni wakucheza 1)win draw no betAzam analeta utoto kwenye kazi
Nakuelewa sana familia.Hongera Mkuu.
Hizi Odds 4-20 zenye mechi kuanzia 10-30 ndio haswa tunatakiwa kudeal nazo.
Tuchukulie huu uwekezaji kama side hustle ambayo inalipa kidogo kidogo. Kama ilivyo biashara.
Tukichukulia kama biashara ya kupata faida laki laki. Au Elfu 50 au 30 . Huku tukiwekeza elfu 5 au 10 kwa siku. Inaweza kukulipa.
Na pale mtaj unaotokana ndan ya biashara ukiwa mkubwa basi unaweka odds chin ya 5 na kutupia dau ndefu.
Vile vile SGR ziwekwe.
You never know. Ila Ziwe za kimkakati.
Umeanza kujifundisha kiswahili ??
Huu umetulia .Msipuuze
5P4NAT
Pole Mkuu.Lost!
14/16
Odds 9.86
Sportpesa
Kazi Iendelee Wawekezaji.64ZJ2C
Mechi 10
Odds 5.40
Sportybet