Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mambo yamekuwa magumu sana huu mwezi ..ngoja nitupie hiki chuma tuone kama mitaji itapatikanq πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡

6UTLD5
 

Attachments

  • Screenshot_20260304-103513_SportyBet.jpg
    65.9 KB · Views: 21
Kanji kama kweli ni mwanaume leo achomoe hiiπŸ˜‡

5XGZZH
 

Attachments

  • Screenshot_20260304-120323_SportyBet.jpg
    69.6 KB · Views: 21
Tu

Tumalizame leo leo!

Hiyo ni mother code, Code ya Kimkakati inatoka humo!

Hiyo code ukiikata mara 3 ama nne, hata randomly, unaambulia cashout ya maana...

AMA IPAKE KILAINISHI! KAMA HUWEZI KUILAINISHA, NIRUHUSU NIKUPAKIE KILAINISHI!
Kabisa kabisa mzee baba biashara asubuhi jioni mahesabu mzee.

Kama unaikata ikate tu mzee then ututumie code wadau turuke nayo mzee.
 
Unafatilia timu unakuta game 6 zilizopita peke yake katoa over 1.5 game zote. Ukiweka hela tu hawatoi goli kama walikuwa wanakusubiri wewe tu kmmmmmkView attachment 3552067
Mechi yoyote ya CUP...! Sio ligi....NI RISK KUIBETIA OVER 1.5....Timu Hazitafuti kuscore magoli, ZINATAFUTA USHINDI, timu ikibahatisha goli 1 tu inaishi nalo hilohilo mpaka mwisho wa dahari!

Naogopa sana 1.5 kwenye cup.
 
Mkuu hapa umeweka timu ngapi?
Hata timu Tano zinaweza kuleta win ya milioni 128..! Kwa stake ya mia mbili!... Inategemeana na option gani unacheza!

When it comes to betting, all options are the same na stake zote ni sawa!

Ni mara nyingi tu naliwa code za 10,000, na code za mia mia, mia mbili zinaokoa jahazi zinanirudisha mjini kwa ajili ya cashout, usione kama najifurahisha!, huwa najua ninachokifanya!.
 
Pamoja sana mkuu
 
Sportybet na haya maroboti yao yanayojifanya kila siku eti ni watu OG wanacheza aviator!, kila siku namba ya wachezaji ni ileile? Haibadiliki!? Hata kwa bahati mbaya!?...Ni coincidence!?...

Jichanganye sasa ukijua na wenzako wamo wanacheza huo mchezo! Uone moto!
 
Madrid jana kapita na mikeka ya watu
Mimi kitu kimoja amhacho ntaamini ni kua hizi timu kubwa Kuna mechi hua wanaingia makubaliano maalum na makampun ya kubeti makubwa, wanaamin kua pesa itapatikana nyingi kwaio pengine Kuna mgawanyo wa 50% kwa 50% , manake huwez kuniambia timu ndogo iifunge timu kubwa na unakuta wanajua kabisa 98% ya mikeka watu waliweka hio mechi na hata wengine naamin. Waliweka mpunga mrefu...
 
kabisa mkuu
 
Uliangalia mechi mkuu? Watoto walikaza aisee!
 

BOOOOOOOM βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

1.1 MILLION WON βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ… πŸ”₯πŸ”₯

πŸ“ŒJiunge PariPesa Kupitia Link Hizo Hapo ChiniπŸ‘‡

Promo Code AndikaπŸ‘‰TIPS2424

Jiunge Hapa πŸ‘‡

https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…