Linaisha lini hili mzee baba...?Hii kitu ni chuma kamili ...kagueni mkilidhika tieni hata sh1000 ..hapa kanji nimembana kisawa sawa odds 88
5WL15N
Nakubali nakubali Muwekezaji.Hii kitu ni chuma kamili ...kagueni mkilidhika tieni hata sh1000 ..hapa kanji nimembana kisawa sawa odds 88
5WL15N
Hili dude nimelikubali limesukwa kwa weledi mkubwaHii kitu ni chuma kamili ...kagueni mkilidhika tieni hata sh1000 ..hapa kanji nimembana kisawa sawa odds 88
5WL15N
Mkuu, Option ya home or draw au home or away huwa zinakuwa jau sana. Nafikiri utembee na kadi over 1.5, maana odds zake hazitofautiani sana.Hii kitu ni chuma kamili ...kagueni mkilidhika tieni hata sh1000 ..hapa kanji nimembana kisawa sawa odds 88
5WL15N
Kama hapo unaweza tokea Wolves kashinda au Barca kapigwaMkuu, Option ya home or draw au home or away huwa zinakuwa jau sana. Nafikiri utembee na kadi over 1.5, maana odds zake hazitofautiani sana.
Nawasilisha
KUNA KITU KINAITWA POSITIVE EDIT ... unaweza kuendelea kufanya edit ya hivyo na kuzidi kupunguza odds ..pia ukiona nimeweka home or draw jua hapo nilikuwa nimeona home anashinda mazima ndiyo namlinda kwa draw..pia kuhusu kadi...Mkuu, Option ya home or draw au home or away huwa zinakuwa jau sana. Nafikiri utembee na kadi over 1.5, maana odds zake hazitofautiani sana.
Nawasilisha
Umesomeka mkuu, ila kwenye bet builders kuEdit ni mtihani kidogoKUNA KITU KINAITWA POSITIVE EDIT ... unaweza kuendelea kufanya edit ya hivyo na kuzidi kupunguza odds ..pia ukiona nimeweka home or draw jua hapo nilikuwa nimeona home anashinda mazima ndiyo namlinda kwa draw..pia kuhusu kadi...
Ukiona sijaweka kadi over 1.5 tambua kuwa hiyo option haikuwepo kwenye hiyo mechi ..siyo kila mechi option ya kadi ipo na nyingine hiyo option ina anzia 2.5 au 3.5 sichezagi
Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo
Mtihani kivipi mbana mimi na edit sawa na beti ya kawaida🤔 unapo fanya edit inatokea bar zenye rangi ya kufanana mkono wa kushoto wa mkeka wako ikimaanisha hiyo mechi umecheza zaidi ya mara 1 hivyo unaifuta ile usiyo itaka na kubakisha uliyo edit pia kuna edit ya kufuta kabisa hiyo mechi yani kupunguza mechi hii nayo ni moja wapo ya positive edit.Umesomeka mkuu, ila kwenye bet builders kuEdit ni mtihani kidogo
PoleKila Jumamosi & Jumapili, nikiweka code kiaminio kabisa timu ya kwanza kabisa inachana!
Hasa hasa Buriram Fc, ukiomba over 1.5 anashinda 1-0...! Ukimuomba ushindi- anatoka 1-1
Nachoka mimi JITU BANDIA .
Nadhani Tuishi na hizi Ngumu kumeza tu! Nadhani Hapa ndo mahala pake sahihi.
View attachment 3546799