Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1000094288.jpg
 
Wawekezaji wa kawaida JITU BANDIA Lwiva Niache Nteseke ngara23 Rutashubanyuma hatuwez kujadili hapa kwa pamoja mkeka mmoja wa Sportybet . Tren la Odds 100-500 la wiki hii had jmosi? .

mfano mtu mmoja analiunda. Alaf anatia sh 10 tu ili liwe hewan alaf analileta hapa tunajadil na kuedit alaf tunatia sh 10 na mpaka pale tutakapolipitia wote na kuona linaweza kufika salama ndio tunatia hela.

Au mnaonaje?.
"United we stand,divided we fall"
 
Naleta teaser Code ya Siku 3 favourite over 2 goals...change it into 1 goal...
 
Bro. Nimechek hii ☝️☝️code. Nina wasiwasi Barcelona . Akiwa away hana makali sana. Na pia Newcastle akiwa home anaweza kupata goli.
Kwahiyo option nzur ni Over 1.5 FT au Over 0.5 Newcastle.
Direct win Kwa Barca ni 50/50.

Pia Mamelod over 1.5 inaweza isitoe. Kwanza yuko away na Hafanyaj vizur akiwa away na pili Ijumaa anacheza na Stade Mallien . CAF . Kwahiyo hatakaza sana. Ataogopa injury na kuvuja jasho jingi.
Hii mechi haiwez kuwa na magoli mengi. Under 3.5 nadhan ni option nzur zaid.
 
Wawekezaji wa kawaida JITU BANDIA Lwiva Niache Nteseke ngara23 Rutashubanyuma hatuwez kujadili hapa kwa pamoja mkeka mmoja wa Sportybet . Tren la Odds 100-500 la wiki hii had jmosi? .

mfano mtu mmoja analiunda. Alaf anatia sh 10 tu ili liwe hewan alaf analileta hapa tunajadil na kuedit alaf tunatia sh 10 na mpaka pale tutakapolipitia wote na kuona linaweza kufika salama ndio tunatia hela.

Au mnaonaje?.
"United we stand,divided we fall"
Naingia chombo nitalipandisha kesho asbh
Tukumbuke matimu Europa na conference League Huwa yanamwaga pesa
 
Bro. Nimechek hii ☝️☝️code. Nina wasiwasi Barcelona . Akiwa away hana makali sana. Na pia Newcastle akiwa home anaweza kupata goli.
Kwahiyo option nzur ni Over 1.5 FT au Over 0.5 Newcastle.
Direct win Kwa Barca ni 50/50.

Pia Mamelod over 1.5 inaweza isitoe. Kwanza yuko away na Hafanyaj vizur akiwa away na pili Ijumaa anacheza na Stade Mallien . CAF . Kwahiyo hatakaza sana. Ataogopa injury na kuvuja jasho jingi.
Hii mechi haiwez kuwa na magoli mengi. Under 3.5 nadhan ni option nzur zaid.
To cut the long story shot,

Barcelona wa laliga, sio Barcelona wa Uefa!

Madrid wa laliga sio Madrid wa Uefa!

Ukitambua hayo..utajua hilo kombe kwenye hiyo hatua...hao viumbe huko wana dunia yao! Na huwa hawarembi mwandiko!
 
Back
Top Bottom