Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • IMG_20260310_225916.jpg
    IMG_20260310_225916.jpg
    54 KB · Views: 14
Wawekezaji wa kawaida JITU BANDIA Lwiva Niache Nteseke ngara23 Rutashubanyuma hatuwez kujadili hapa kwa pamoja mkeka mmoja wa Sportybet . Tren la Odds 100-500 la wiki hii had jmosi? .

mfano mtu mmoja analiunda. Alaf anatia sh 10 tu ili liwe hewan alaf analileta hapa tunajadil na kuedit alaf tunatia sh 10 na mpaka pale tutakapolipitia wote na kuona linaweza kufika salama ndio tunatia hela.

Au mnaonaje?.
"United we stand,divided we fall"
Screenshot_20260311-013116.jpg


Hebu tuichugulie hii wadau...?

5HF648
 
To cut the long story shot,

Barcelona wa laliga, sio Barcelona wa Uefa!

Madrid wa laliga sio Madrid wa Uefa!

Ukitambua hayo..utajua hilo kombe kwenye hiyo hatua...hao viumbe huko wana dunia yao! Na huwa hawarembi mwandiko!
Bro nilikuambia jana.
Barca na Liverpool wamechana mikeka ming. Yaan Liva hata over 1.5 wamekataa kutoa.

Leo nayo siku. Kuza mtaji.

Odds 5.
Sportybet.
6L1LV8
Za Leo Leo.
 
Kazi kazi!
Wachawi wa leo:
SBS vs Simba.
Madrid vs Man city.
 

Attachments

  • Screenshot_2026-03-11-12-12-03-316_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    Screenshot_2026-03-11-12-12-03-316_com.sportybet.android.gp.tz-edit.jpg
    105.1 KB · Views: 16
Back
Top Bottom