Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,815
- 3,821
Mpaka sasa zinagoma?!Code zinagoma kufunguka mzee baba...!
Nadhani my app was out of date nimei-update kwa sasa ipo sawa. Codes nyingi zilikuwa zinagoma ila now fresh kiongozi...!Mpaka sasa zinagoma?!
Uwe una copy mkeka wake unapaste kwangu, sijajitoa out siku nyingi sana😃Kuna mwana nimekaa nae jana kwenye kamnyeso katusua 180k kwa elfu 5 . Sportybet. Ndio kanifanya niwe interested zaid.
Haya mambo yanawezekana kumbe.
Kipigo hicho mkuu, kanji hakamatikiUmeona maono gani mkuu? Umepiga pesa au umepigwa?
Mzigo unaisha lini huu mkuu...?Nimefilisika, sina mtaji.
Mpango ni ule ule, chagua.View attachment 3556530
Imekaa kibabe hiiWhen every required way fails, leave it to luck!
View attachment 3556646
Shots on target,
Shots outside the box(premiership 3 games)
Total =7 games