Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kanjo kawa mkaidi sana .... namdai kama elfu60000 hivi ndiyo naangaika kuirudisha
 

Attachments

  • Screenshot_20260311-223442_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260311-223442_SportyBet.jpg
    178.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260311-223640_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260311-223640_SportyBet.jpg
    136 KB · Views: 12
🎩 [FT] - [ AWAY ]

🎩 [ 𝗢𝗗𝗗𝗦 •[2.15]
 

Attachments

  • IMG_20260311_224558_459.jpg
    IMG_20260311_224558_459.jpg
    30.4 KB · Views: 13
Sasa hivi nasubiri huu mkeka utiki uwezekano wa kula ni asilimia 95%😇😇😇 adriz the mbususu dua yako majini yaje kusaidia ushindi
 

Attachments

  • Screenshot_20260311-225113_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260311-225113_SportyBet.jpg
    117.1 KB · Views: 16
Alldbedt
 

Attachments

  • IMG_20260311_230046_388.jpg
    IMG_20260311_230046_388.jpg
    38.2 KB · Views: 11
Niache Nteseke we mzee.
Jana mikeka yangu miwili sijui nilijiamin nn nikampa Middlebrough. Ingawa kwa option tofauti ila Yote kachana yeye. Timu moja tu.
Odds zilikuwa 10 kwa yote. Dah.

Leo wa kutafuta mtaji ni huu
6R6DBN
Sportybet
Odds 9

Na Lile treni la Maelelezo la siku 2 kutafutia hela ya kuvimbia jmosi ni hili.
Hebu tupia macho.

63DWZ8
Sportybet
Odds 95
 
Jana kuna team 2 zimeniletea upumbavu leo naweka treni moja tu hapa jf


5NNYBH
Edit jana mechi za mwisho ndiyo zimechana mikeka yangu hivyo huu nimefanya edit ya mechi za mwisho zinazo chezwa 23pm

5BXGEW
 

Attachments

  • Screenshot_20260312-085420_SportyBet.jpg
    Screenshot_20260312-085420_SportyBet.jpg
    71.7 KB · Views: 20
Niache Nteseke we mzee.
Jana mikeka yangu miwili sijui nilijiamin nn nikampa Middlebrough. Ingawa kwa option tofauti ila Yote kachana yeye. Timu moja tu.
Odds zilikuwa 10 kwa yote. Dah.

Leo wa kutafuta mtaji ni huu
6R6DBN
Sportybet
Odds 9

Na Lile treni la Maelelezo la siku 2 kutafutia hela ya kuvimbia jmosi ni hili.
Hebu tupia macho.

63DWZ8
Sportybet
Odds 95
Aisee acha tu hizi wiki 2 - 3 Muhindi ametufanya kitu mbaya sana ndugu yangu. Hapa nna maumivu ya kutosha kaka acha tu.

Ila bila ya kuchoka tuseme nae huyu jamaa mpaka aseme na yeye mkuu.

Ngoja nichungulie hiyo mikeka nitupie kiongozi MUNGU anaweza akawema mkono wake kaka.
 
Back
Top Bottom