mimi nimejaribu moja hivi, kutoa pesa ni kipengele sijui kwako..View attachment 3556779
Yeyote mwenye experience na hii kampuni mazee.
ukiweza kutoa pesa zako nijuze...View attachment 3556779
Yeyote mwenye experience na hii kampuni mazee.
Edit jana mechi za mwisho ndiyo zimechana mikeka yangu hivyo huu nimefanya edit ya mechi za mwisho zinazo chezwa 23pmJana kuna team 2 zimeniletea upumbavu leo naweka treni moja tu hapa jf
5NNYBH
Aisee acha tu hizi wiki 2 - 3 Muhindi ametufanya kitu mbaya sana ndugu yangu. Hapa nna maumivu ya kutosha kaka acha tu.Niache Nteseke we mzee.
Jana mikeka yangu miwili sijui nilijiamin nn nikampa Middlebrough. Ingawa kwa option tofauti ila Yote kachana yeye. Timu moja tu.
Odds zilikuwa 10 kwa yote. Dah.
Leo wa kutafuta mtaji ni huu
6R6DBN
Sportybet
Odds 9
Na Lile treni la Maelelezo la siku 2 kutafutia hela ya kuvimbia jmosi ni hili.
Hebu tupia macho.
63DWZ8
Sportybet
Odds 95
Mkuu huu mkeka Yanga wasipopata goli dakika 10 zikapiga inakuaje kiongozi...?Jana kuna team 2 zimeniletea upumbavu leo naweka treni moja tu hapa jf
5NNYBH
Ukiipa Mechi Over 1.5Mkuu huu mkeka Yanga wasipopata goli dakika 10 zikapiga inakuaje kiongozi...?
Oooh okay sawa kiongozi ngoja turuke nao kaka...!Ukiipa Mechi Over 1.5
Alaf ndan ya Dk 10 Goli moja likapatikana bas wanaipa tayar kuwa ishatoa over 1.5
Ila kama halijapatikana goli ndan ya dk 10 bas ndio inaangaliwa total mpaka Full Time.