Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu, mbali na hizi code tunazotuma humu, nawashauri tujitahidi pia kupiga In-Play (Live Betting).

Uzuri wa Live ni kwamba unakuwa na picha halisi ya dakika hiyo; unaona timu inayoshambulia, inayopaki basi, au mabadiliko ya mchezaji yanayoweza kubadili matokeo.

Odds huwa zinachangamka sana mchezo ukiwa unaendelea, na ukiwa na jicho la ziada, huku ndiko kuna hela ya haraka na yenye uhakika kiasi chake kuliko kusubiri mechi zaidi ya kumi zitoe zote.

Kama unajua kuzisoma statistics kama Dangerous attacks, Shots on target, off target, cross, corners n.k huku live betting ndo sehemu ya kukuza mtaji.
 
Kweli mkuu ila kwenye on play hela Huwa zinateketea haraka sana
 
"Betting against the grain" 🤔
1000006380.jpg
 
Back
Top Bottom