Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
What's going on kumaanina mbona mikeka inapotepotea hovyo
Bayern wachezaji wanacheza kama wamelazishwa vile Lucho na Jackson leo ndo hamna kitu kbisaaaa.Bayern Munich kafungwa na kala kadi nyekundu na nilimpa 2 up
kasepa na kijhBayern Munich kafungwa na kala kadi nyekundu na nilimpa 2 up
KwannAlipigwa ban kwenye hii forum ya sports kuweka comment zake
Wanalia sana hizi wiki tatu zimekua za moto sanaJana nimemkosa kanji milioni 11 kwa sh 500 baada ya mechi moja kuchana ..sasa hivi nimedandia live hii nikuze mtaji tuendelee kubetia pesa za kanji
Hatuna muda wa kuedit tunaweka kama ilivyo mkuuSUNDAY.
6B5XHC - odds 70 sportybet
5GW05D-2k odds sportybet
Edit leta tuishi nayo