Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

booking_code_2994EF.jpeg
 
Aliewah kushinda milion 10 aje kwenye hy coment
Mwaka juzi nilicopy code ya Mnigeria nikapaste kwenye akaunti yangu ilikuwa games za basketball na sijui chochote kuhusu basketball. Mnigeria Ali stake 200,000 ya Nigeria mimi Nika stake 50,000 nikalala. Asubuhi kuchungilia nakutana na 13.86 m. Ila kwa ufupi ziliishia kwenye bia na ndiyo chanzi cha addiction/ Uraibu wangu wa betting hadi leo siwezi kuacha
 
Back
Top Bottom