Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakuna kitu kigumu kama kutegemea mtu mwingine aingie uwanjani akufanyie kazi unayotaka. Yaani unakuta team inacheza bila stress kabisa na huku watu tumeweka pesa.

Ni bora kazi unayofanya direct mwenyewe kutumia nguvu zako hata kama ni shamba ekari moja umepewa ulime utajitutumua no matter what umalize upewe chako.
 
Nini kimetokea???
 
vijana wanapukutishwa tu kudaaadeki, juzi nimemkuta mmoja analia kilio cha mbwa koko, kachukua mtaji wa m~pesa wote katupia kwenye mkeka wao wanaita kono la nyani😁😁😁.....ni ndani ya dk 90 tu mtaji wote umeenda.
Mwaka jana nilifanya huu ujinga. Nilisuka odds 4 nika stake 900,000 nikiamini ni sure Odds. Timu ya kwanza niliyobetia ilipigwa red card dakika ya 15. Zikafuata mvua ya magoli hadi half-time imepigwa 4 bila halafu Muhindi akazima cash out ili nisiambulie hata mia😞. Niliishi kwa madeni mwezi mzima.

Thread 'Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu' Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu
 
Screenshot_20260314-111305.jpg

Odds 21
 
Mwaka jana nifanya ujinga. Nilisuka odds 4 nika stake 900,000 nikiamini ni sure Odds. Timu ya kwanza niliyobetia ilipigwa red card dakika ya 15. Zikafuata mvua ya magoli hadi half-time umepigwa 4 bila halafu Muhindi akazima cash out ili nisiambulie hata mia😞. Niliishi kwa madeni hadi mwezi uliofuata

Thread 'Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu' Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu
We unafikiri unachota tu pesaa ,kwenye betting epuka matarajio makubwa mkuu itakucost. STAKE WISELY
 
Back
Top Bottom