Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pengine leo ikawa mwisho wa bookmarkers kuchukua hela zetu, maana ametuzoea sana hizi wiki 2 nanusu!
54K667

Yaani wiki 2 - 3 hizi kweli wametuacha tuteseke na kweli tumeteseka vya kutosha mkuu. Acha kabisa...!
Nikajua ni ni mimi tu ndiye nimepoteza hela hizi wiki mbili mfululizo. Muhindi kumaanina yaani nimepoteza 450,000 😞
 
Noma mzee baba mimi hata kusema naona aibu ndugu yangu.
Aisee.. mtu unasuka mkeka unajiridhisha mara nyingi lakini game ya kwanza tu inapita na mkeka wote
Sorry to say this, but,

unapobetia corner, jaribu kuangalia timu zinazokutana zinacheza formation gani....

Game nyingi zinazotoa corner 10+ ni timu zinazo shambulia kutokea pembeni, timu zinazotumia wingback kutengeneza chances
 
Wazee betting ni kazi ngumu sana. Ona timu ya pili kwenye msimamo wa ligi inachakazwa na timu ya mwisho. Nimechoka kabisa,.
 

Attachments

  • Screenshot_2026-03-13-21-25-44-223_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2026-03-13-21-25-44-223_com.android.chrome.jpg
    151 KB · Views: 16
Back
Top Bottom