JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Aisee!
Walipata goli likakataliwa😪
3 drw kaboom waliofwataEgypt
Al Mansour fc
FT x
Maxbet
2 won /33 single drws
Game ya arsenal ni yakutoa corner under 6...?🤠🤠🤠🤠
Kweli utajiri ni mgumu kama tako la ngamia
Noma sana hii 🙌🏽Jana hii mechi imekuwa virus hadi booking 1.5 imechana...Leo mwende ni rebet na kukuza mtaji tu sitaki mambo mengi
Mwingine huu hapa kwa wale mnao tiara mizigo kazi kwenu ..harakati za kurudisha mtaji mwendo ni odds ndogoOdds 46 ...sasa twende na odds ndogo ndogo kwanza ..
65KNE0
Yaani wiki 2 - 3 hizi kweli wametuacha tuteseke na kweli tumeteseka vya kutosha mkuu. Acha kabisa...!Kwa hali ilivyo sasa. Watupe tu njumu au Filimbi na sisi wawekezaji tupambane kwenye hizo dk 90.
Sasa Crystal palace na Nottingham wako home na wanashindwa kushinda au hata kutoa 1.5 kweli?.
Niache Nteseke bro. Tufanyaje?
Amen kiongozi ngoja tujaribu na leo MUNGU anaweza akawa upande wetu kaka...! ✊🏾Pengine leo ikawa mwisho wa bookmarkers kuchukua hela zetu, maana ametuzoea sana hizi wiki 2 nanusu!
Tupe hzo odds mkuuAmen kiongozi ngoja tujaribu na leo MUNGU anaweza akawa upande wetu kaka...! ✊🏾
Tupe hzo odds mkuu