Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Kweli mkuu ila kwenye on play hela Huwa zinateketea haraka sanaWakuu, mbali na hizi code tunazotuma humu, nawashauri tujitahidi pia kupiga In-Play (Live Betting).
Uzuri wa Live ni kwamba unakuwa na picha halisi ya dakika hiyo; unaona timu inayoshambulia, inayopaki basi, au mabadiliko ya mchezaji yanayoweza kubadili matokeo.
Odds huwa zinachangamka sana mchezo ukiwa unaendelea, na ukiwa na jicho la ziada, huku ndiko kuna hela ya haraka na yenye uhakika kiasi chake kuliko kusubiri mechi zaidi ya kumi zitoe zote.
Kama unajua kuzisoma statistics kama Dangerous attacks, Shots on target, off target, cross, corners n.k huku live betting ndo sehemu ya kukuza mtaji.
Hapana mkuu, labda uwe haujui kusoma statistics za game ikiwa live, mfano Ile game ya Barcelona jana, kwa walio bet live jana wamepiga hela sana, maana data zilianza kuonekana mapema tu kuwa sevilla atapigwa goli nyingi sana.Kweli mkuu ila kwenye on play hela Huwa zinateketea haraka sana
Mkuu hiv hii kampun gan"Betting against the grain" [emoji848]
View attachment 3558711
Secret betMkuu hiv hii kampun gan
usitumie nguvu nyingi UEFA weka simple tu chukua odds 44 sportbet 5DXX5HWakamaria leo kwenye UEFA tunaendaje
Second leg ngum mnooWakamaria leo kwenye UEFA tunaendaje