Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau, nje mada.
Ninatoa huduma ya bando la internet kwa watumiaji wa halotel tu.
GB 23 kwa 15k
GB 31 kwa 20k
GB 39 kwa 25k
GB 47 kwa 30k
GB 55 kwa 35k
GB 63 kwa 40k
Ni ofa ya eid na pasaka.
Nicheki WhatsApp/Call 0713136684
 
Live nikiwa nimelala. Nimeogopa kuweka hela kubwa woga wangu tu.
Screenshot_20260402-062624_Planbet.jpg
 
Kwenye Betting hizo ni nyingi mno mkuu, hazina tofauti kabisa na hizo zingine kama 20 n.k
Hata odds 3 Ni nyingi,
Mimi nahangaika natafuta odds 1.25 toka mchana napishana nazo tu. Kila nikijifikiria ile kusuasua nakuta goli lishaingia. Mwisho Wa Siku naweza kutumbukia sehemu mbaya.
 
Hata odds 3 Ni nyingi,
Mimi nahangaika natafuta odds 1.25 toka mchana napishana nazo tu. Kila nikijifikiria ile kusuasua nakuta goli lishaingia. Mwisho Wa Siku naweza kutumbukia sehemu mbaya.
Kifupi kwenye betting hakuna odds kubwa wala ndogo, zote ni sawa tu., utofauti upo kwenye probability ya kutoa tu.
 
Back
Top Bottom