Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,343
BW4AF9C2A1 BETWAY
Single bet ni nzuri sana kama una mtaji wa kutosha, ni mara chache sana utachaniwa, na uwezekano wa kulala na faida kila siku ni mkubwa mno.Ni mara mia ucheze hata mara 4 kwa siku kwa game moja moja zenye odds 1.5+ kuliko kuweka game zaidi ya 1 kutafuta odds 2+. Ni risk sana
Hii ndo raha ya in play, kuna siku nimewahi toa ushauri humu kuhusu hizi live betting, watu wakitaka kukuza mitaji wacheze hizi,, huku kuna pesa ya haraka sana ukiwa mtaalamu wa kusoma statistics za mpira wa miguu kama attacks, dangerous attacks, shots on target, corners.Kama hisia. kama hizi, katika hali ya kawaida kumshauri mtu abeto odds 5 Kwa single game hawezi kukuelewa. View attachment 3566979
Uko sahihi. Ni bora ubeti eg mchezaji fulani kufunga goli au timu fulani kushinda etc kuliko combo au huu unaoitwa mkeka.Single bet ni nzuri sana kama una mtaji wa kutosha, ni mara chache sana utachaniwa, na uwezekano wa kulala na faida kila siku ni mkubwa mno.
Kuwa safe zaidi hapo mkuu nadhani mpe Madrid kushinda Ft, maana yupo away, mallorca wanaweza kukaza 1H, ila second half ni lazima Madrid ashinde.Huu naufikiria Sana niweke hela ama la.View attachment 3567262u
Mfano game zilivyo nyingi leo, mtu atakayecheza single bet leo lazima alale na faida.Uko sahihi. Ni bora ubeti eg mchezaji fulani kufunga goli au timu fulani kushinda etc kuliko combo au huu unaoitwa mkeka.
Mimi siyo mtaalam sana wa jagons za betting lakini kuna hii ya ku-bet jumla jumla bila kuweka matokeo halisi. eg Liverpool to win, to have more cards and mora corners, huwa naona ni nafuu zaidi ya kuweka mkeka wa timu 12Hii ndo raha ya in play, kuna siku nimewahi toa ushauri humu kuhusu hizi live betting, watu wakitaka kukuza mitaji wacheze hizi,, huku kuna pesa ya haraka sana ukiwa mtaalamu wa kusoma statistics za mpira wa miguu kama attacks, dangerous attacks, shots on target, corners.
Game unaisoma mapema kama itakuwa na goals nyingi au chache, kama hapo wewe hizo odds kuzipata kwa pre match ni kamzozo ila live betting ni easy sana.
Special markets hizi mkuu, ziko vizuri sana, mfano international games zilizo pita, zile mechi zilizokuwa zinapigwa friendly kama kuna watu walizisoma, upande wa fouls zilikuwa zinatoa sana under, na odd za under zilikuwa ni mlima odd 2 mpaka 1.7.Mimi siyo mtaalam sana wa jagons za betting lakini kuna hii ya ku-bet jumla jumla bila kuweka matokeo halisi. eg Liverpool to win, to have more cards and mora corners, huwa naona ni nafuu zaidi ya kuweka mkeka wa timu 12
Tia laki hapoHuu naufikiria Sana niweke hela ama la.View attachment 3567262u
Hii option huwa napendaga kuchezaUko sahihi. Ni bora ubeti eg mchezaji fulani kufunga goli au timu fulani kushinda etc kuliko combo au huu unaoitwa mkeka.
5QLN1V
679123
5E1E80
6A9788
SPORTYBET