Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,438
- 15,674
Namsubiria yeye tu nipate ya sikukuu ashinde japo second half tu.Hawa mikeka ya kimkakati wanataka kuiharibu aisee
Namsubiria yeye tu nipate ya sikukuu ashinde japo second half tu.Hawa mikeka ya kimkakati wanataka kuiharibu aisee
Namsubiria yeye tu nipate ya sikukuu ashinde japo second half tu.
Zijaribu kwa kuweka stake ndogo, sana, Mimi nimeshazijaribu zote zinachanaHivi hizi slip za correct score nnazokutana nazo huko duniani zina ukweli au ndio ndoano zenyewe 'gusa unate'?
🙆♂️🙆♂️Zijaribu kwa kuweka stake ndogo, sana, Mimi nimeshazijaribu zote zinachana
Mimi pia sipati access ya kuingia, nilishajiunga nikitaka kuingia inazingua, nikisema Forgot Password haimalizi. Nimefanya hivi kwenye simu na PC pia. Nashindwa kujua shida ni nini...!Betpawa kampuni moja ya kichoko sana.
Kivipi Mzee Baba....!?SPORTYBET kampuni kubwa ila wanafeli kwenye cashout, kampuni gan cashout yake imekaa poa kama Betpawa?
Ila cashout yao inasoma vzur inaanzia kwenye stake yako kwenda mbele kulingananamechi zinavyoenda, SPORTYBET unaeza ukawa umeweka 10,000 cashout ikasoma 3000 na hakuna mechi iliochezwa, na zinaweza kushinda hata mechi 13 lakin cashout ikasoma hela ndogo sanaBetpawa kampuni moja ya kichoko sana.