Sportybet ndo kampuni yangu ila cashout ni wagumu mno aisee hawatoiSPORTYBET kampuni kubwa ila wanafeli kwenye cashout, kampuni gan cashout yake imekaa poa kama Betpawa?
Pale ndio wanapofeli, cashout ya betpawa ipo poa sana, unaweza ukaweka hela na mechi hazijachezwa lakin ukakuta imeongezeka hata 100, kushuka mpaka mechi zianze kwenda tofauti na ulivyobetiSportybet ndo kampuni yangu ila cashout ni wagumu mno aisee hawatoi
Wadau tumeni mikeka.
imeenda na hela yanguMechi ikishaisha hivi inakuwa imeua ndoto za vijana wengi. Quamamaye Lyon. View attachment 3567993
Wa double chance hapo 2X 1X zote zimetokaMechi ikishaisha hivi inakuwa imeua ndoto za vijana wengi. Quamamaye Lyon. View attachment 3567993
Watu wanaliwa Kimya Kimya hawatangazi Maana ni fedhehaNilidhani nikiingia tu nitakutana na boom za kutosha kumbe ni vilio tu dah
Jana ufaransa kumeenda na hela za watuNilidhani nikiingia tu nitakutana na boom za kutosha kumbe ni vilio tu dah
Ni kweli kabisa kiongozi unachosema japo sporty huwa hawaeleweki kuna muda wanashusha kuna muda wanapandisha. Kama kuna mkeka nnao haujachezwa bado nimeweka 10k kuna time cashout inashuka mpaka elf 4 kuna muda wanairudisha inasoma hiyo hiyo 10k.Ila cashout yao inasoma vzur inaanzia kwenye stake yako kwenda mbele kulingananamechi zinavyoenda, SPORTYBET unaeza ukawa umeweka 10,000 cashout ikasoma 3000 na hakuna mechi iliochezwa, na zinaweza kushinda hata mechi 13 lakin cashout ikasoma hela ndogo sana
Niache Nteseke
Hii hadi mimi 🥲😭😭Nimepitia matreni ya jana yote yamechanwa na option ya over ..0.5 na over 1.5 inaelekea hii option imesha nishindaga😇